Diamond platnumz ft jay melody & Mr blue by Diamond platnumz - Album Art
Bongo Flavor

Diamond platnumz ft jay melody & Mr blue

by Diamond platnumz

2026 20 streams 102 downloads

Song Information

Experience "Diamond platnumz ft jay melody & Mr blue" by Diamond platnumz, a captivating Bongo Flavor track released in 2026. This single has garnered 122 total plays, making it a fan favorite on Ingomaa.

Lyrics - "Diamond platnumz ft jay melody & Mr blue"

Hmm—hmm
Oh—no—no—no
Jay once again
Penzi zito kilo mia hamsini
Vile napata raha utaniambia nini
Kuna muda kama siamini
Na kuna muda ni ka napendwa na jini
Maana penzi lako ndege mtini
Niko matawi ya juu nisha tulia mimi
For your love let me sing—sing
Nishakolea hatari mapenzini
Tamu pipi ya kijiti (ah—han)
Ukilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndoa ya mkeka
Penzi halishikiki (an—han)
Linavyotetemesha
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi Nnavyocheza
Mi na mapoz na mimi
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Na sio ndumba waala raha tuu zimenizidi
Sio mambo ya mitala, penzi mwenye nafaidi
Oh, nalishwa nalala, nakumbatwa kwa baridi
Usinione nang'ara natunzwa Alhabibi, oh—ooh)
Matikiti kudondoka, matikiti kudondokea
Marafiki huwa ni nyoka, hivyo chunga wanayo ongea
Nikandekande nikichoka, sio narudi unanifokea
Wenda mwenzio nilipotoka, mambo fyongo hayaja ninyokea
Tamu pipi ya kijiti (ah—han)
Ukilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndoa ya Mkeka
Penzi halishikiki (ah—han)
Linavyotetemesha jamani
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi navyocheza
Mi na mapoz na mimi
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz namimi
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz namimi
Ngoja, huu ni usiku au mchana?
Hold up, hii ni leo au ni jana?
Mapoz nami, ah, unanikumbusha ujana
Roho unavyoirusha ntakuja kufa msichana
Nimepagawa uwanjani na sijui ngapi—ngapi
Refa ni nani mbona mpira hauji kati
Nichague kijani, yellow au papi
Au nije muda gani ili niende na wakati
Unawakanya mabishoo
Kitandani unanipa show mpaka nasahau show (ah—wee)
Unanchanganya kwenye roho, usije kun'danganya, no
Weka penzi niweke Doo (ah—wee)
Mapoz nami we na mapoz nami
Mapoz nami we na mapoz nami
Mapoz nami we na mapoz nami
Mapoz nami we na mapoz na mimi
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz na mimi
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz na mimi
Eyoo Zombie
What it do?
We back
Number moja, moja, moja, moja
Hii ni sauti ya Rais
Yani President
Haujui
(Wasafi)

About Diamond platnumz

Diamond platnumz

Tanzania Superstar

View Full Artist Profile